Tunaomba ufafanuzi kuhusu tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
3,626
Reaction score
3,869
Jana limetumwa tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one, English course kutoka kwa makatibu tawala wa mikoa lililotoka OR-TAMISEMI.

Agizo hili limeelekezwa kwa walimu wa shule za sekondari za serikali.

Hivi ndani ya OR-TAMISEMI au wizara ya elimu, viongozi hawajui utofauti wa formal na
non-formal education?.
Kwa maana walimu wa serikali wapo kwa ajili ya kutoa formal education, na hii programu ya English course ni non-formal education.

Je, kuna malipo yatafanyika?.
Kuhusu muda wa kazi hakuna tatizo.

Walimu tuna kazi ngumu sana katika hii nchi.

MUNGU ATUBARIKI WALIMU WA TANZANIA.
 

Attachments

#Samia again 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…