Tunaombeni jibu nyie wanaume

Mama, dada na mke; binafsi siwezi kuwa-term kama MWANAMKE au niseme, inakwaruza kwaruza sana kumuita mmoja kati yao, "weee mwanamke, nakuomba mara moja!" Ila kwa wengine, wanaitwa tu WANAWAKE.

Sawa, umeamua kukashifu kwa kuwa mara nyingi general term(Mwanamke) inatumika ama kutoa sifa au kudharau/kukashifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…