Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Eti na wale mnaopenda kusema wadada siku hizi bei rahisi dada zenu je mtuambie sasa sio kusema tu ooo wanawake wa jf oooh wanawake wa wapii tusimulieni na dada zenu wananunuliwa kwa sh.ngapi