Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

Kuna siku nimeazima Rolls royce ya rafiki yangu yaani very comfortable nikajisemea moyoni one day yes,siku nikimiliki ntakuomba unisaidie mambo fulani kwa sababu mimi najuaga kuwasha na kuendesha tu ufundi ni nipo zero.
Duh....show me your friend and I will tell you who you are. Ukiwa na rafiki, I mean rafiki ana Roller na wewe ni type hio. Hongera.

Ukimiliki nitafute mkuu.
 
Gari za Toyota sizipendi ila kusema ukweli, Toyota ndio magari pekee yanayofaa kwenye hili bara la Afrika hasa ukija kwenye utengenezekaji wa gari lenyewe.
Kitu kimoja ambacho wengi hawajui Tanzania ndio imejaa SANA magari ya Toyota. Ukienda hata hapo Kenya gari za mzungu kibao, SA ndio usiseme, West Afrrica hivyo hivyo. Kwa sababu sio mengi ndio maana kuna ugumu wa kupata spare au mafundi.
 
Back
Top Bottom