Duh....show me your friend and I will tell you who you are. Ukiwa na rafiki, I mean rafiki ana Roller na wewe ni type hio. Hongera.Kuna siku nimeazima Rolls royce ya rafiki yangu yaani very comfortable nikajisemea moyoni one day yes,siku nikimiliki ntakuomba unisaidie mambo fulani kwa sababu mimi najuaga kuwasha na kuendesha tu ufundi ni nipo zero.
Mapema bongo. Mengi yanakuja yana miaka zaidi ya kumi. Gearbox control najua huwa ni issue sana kwenye Audi A4 2000-Mkuu nikuulize inakuwaje haya magar meng hasa vw na audi huwa sensor za gearbox zinazingua mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mwanangu mmoja wa kinaija,ipo siku ntakuwa type hiyo,nikimiliki yangu defo I will find u man.Duh....show me your friend and I will tell you who you are. Ukiwa na rafiki, I mean rafiki ana Roller na wewe ni type hio. Hongera.
Ukimiliki nitafute mkuu.
Mkuu kuna mtu alishaur kwamba hiz wv za manual transmission hazisumbuiMapema bongo. Mengi yanakuja yana miaka zaidi ya kumi. Gearbox control najua huwa ni issue sana kwenye Audi A4 2000-
Jitahidi kununua gari ambayo haijazidi miaka 10
Lakini si inatoka Toyota??Land Rover(Range Rover, Discovery, Freelander, Evoque) Muingereza huyo.
Inategemea,najua wengi tu wamebadili clutch kit. Ila ikisumbua ni rahisi kurekebisha kuliko Auto transmissionMkuu kuna mtu alishaur kwamba hiz wv za manual transmission hazisumbui
Sent using Jamii Forums mobile app
x5Pole kwenye gari gani? Suspension na levelling sensor zote nzima?
Kuna watu mnatembea barabarani. 160kph kwenye mlima? I salute younimeweka air suspension recently, lakini nikipanda mlima mkali nikiwa speed >160km/hr inajitokeza
Kitu kimoja ambacho wengi hawajui Tanzania ndio imejaa SANA magari ya Toyota. Ukienda hata hapo Kenya gari za mzungu kibao, SA ndio usiseme, West Afrrica hivyo hivyo. Kwa sababu sio mengi ndio maana kuna ugumu wa kupata spare au mafundi.Gari za Toyota sizipendi ila kusema ukweli, Toyota ndio magari pekee yanayofaa kwenye hili bara la Afrika hasa ukija kwenye utengenezekaji wa gari lenyewe.
yesInajitokeza halafu inapotea?