Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Mkuu wewe unajua kunyoa?Nasubiri madini kutoka kwa wenye uzoefu na hii biashara maana mie binafsi niko njiani kufungua hii biashara na tayari nimeshalipia fremu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzio huku amelazimika kuifunga kabisa salon na Hana hata mwezi aliajiri kijana hesabu hamna kabisa.. Nakuhurumia..
Kwa siku unakusanya mahesabu bei gani, na hizo saloon zipo location ipiMambo ya salun sio rahisi wafanyakazi ni wajanja janja kwa hio salun inahitaji uwangalizi wa hali ya juu by th way salun ni biashala ambayo haiumizi kichwa sana ukipata wafanyakazi makini na location nzuri.
Mm namiliki salun tano mjini hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yakeMwenzio huku amelazimika kuifunga kabisa salon na Hana hata mwezi aliajiri kijana hesabu hamna kabisa.. Nakuhurumia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni fundi?Dah kama una roho nyepesi huwezi miliki hii biashara, ina changamoto nyingi sana na wwe si fundi na ufatiliaji wako ni hafifu unaweza funga mwezi wa kwanza tu. Nashukuru mimi leo mwaka wa 3 huu bado inapumua check instagram @bizzbarbershop
mmiliki
Fungeni cctv,zitawasaidia.Mwenzio huku amelazimika kuifunga kabisa salon na Hana hata mwezi aliajiri kijana hesabu hamna kabisa.. Nakuhurumia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakwel ateseka sana na hii biashara lakin moyo wangu unaniambia sipaswi kuiacha.
Mm i mfanyakaz na nina salun lakin vija kila week sound tu za hakuna wateja.
Nimeshafukuza mmoja huyu wa pil nae naona sound zishaanza..huwa nahis labda location ni shida maana ipo uchochoron.
Kero nyingine tuna share umeme na mama mwenye nyumba basi mzigo wote unakua wangu maana siwez acha umeme umeisha wakat bila huo hamna kazi.Hana ushirikia o kabisaa.
Biashara yangu ina mwez wa 5 sasa sidhan kama nimeingiza not more than 600,000/= kwa investment ya more than 2.5M
Kichwa kinauma kwel ila nimeamua niweke haya mawaz kando kwanza nimempa kaz wife awe anafuatilia kwa ukaribu maana yy kazin nai karib na ofis ilipo.