Tunaomiliki salon za kiume Tukutane hapa tuambizane namna ya kuziinua zaidi

Kuna kifaa kinachofungwa pembeni ya mita kubwa ya Tanesco, hicho kinasoma matumizi yako ya umeme. Kinapatikana kwenye maduka ya vifaa vya umeme kinaondoa malalamiko hata kwa wapangaji.
Unaweza ukajiingizia umeme wako mwenyewe au kinasoma matumiz tu???
 
Nafikiri ukifika dukani utakiona na atakachokueleza utaona kwa vitendo.

Hiyo ni submeter, kama huyo mama mwenye nyumba mnachangia luku, nawewe unahisi matumizi yako ni kidogo kuliko unacholipa, sasa hiyo submeter ndio suluhisho. Mathalani kilasiku unanunua umeme wa 1,000. Sawa na unts 2.9 na mwenye nyumba anatoa 1,000. Jumla mtakuwa na until. 5.8 sasa kwenye matumizi ukifunga hiyo submeter hadi jioni itaonesha umetumia unts ngapi.

Kumbuka: submeter sio jina halisi.
 
Ujinga wa hawa vinyozi ni kutaka kufaidika wao peke yao na kusahau aliye waweka ofisini, akikuambia biashara mbaya mwambie kama anaweza kuacha kazi aache ipo siku utampata mtu mwaminifu tu.
Kwakwel ateseka sana na hii biashara lakin moyo wangu unaniambia sipaswi kuiacha.
Mm i mfanyakaz na nina salun lakin vija kila week sound tu za hakuna wateja.
Nimeshafukuza mmoja huyu wa pil nae naona sound zishaanza..huwa nahis labda location ni shida maana ipo uchochoron.
Kero nyingine tuna share umeme na mama mwenye nyumba basi mzigo wote unakua wangu maana siwez acha umeme umeisha wakat bila huo hamna kazi.Hana ushirikia o kabisaa.
Biashara yangu ina mwez wa 5 sasa sidhan kama nimeingiza not more than 600,000/= kwa investment ya more than 2.5M
Kichwa kinauma kwel ila nimeamua niweke haya mawaz kando kwanza nimempa kaz wife awe anafuatilia kwa ukaribu maana yy kazin nai karib na ofis ilipo.
 
Umekosea location, na pia jaribu kutafuta kijana muaminifu. Mwisho wa ujanja wote ni kuweka CCTV hapo utakua unajua idadi ya wateja waliopatiwa huduma na hatoweza kukusound suala la kukosa wateja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza malipo inakuaje? Unamlipa kinyozi mwisho wa mwezi au anakuletea hesabu ya siku? Na akikuletea hesabu ya siku je unalipia ww umeme au umeme analipia yeye?
 
Mambo ya salun sio rahisi wafanyakazi ni wajanja janja kwa hio salun inahitaji uwangalizi wa hali ya juu by th way salun ni biashala ambayo haiumizi kichwa sana ukipata wafanyakazi makini na location nzuri.
Mm namiliki salun tano mjini hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tupe Siri unasimamia vipi ili kumudu uendeshaji wa hizo saluni na pesa ipatikane bila tatizo.
 
Au mwenye kujua ntapata wapi kiti cha kuoshea mteja na beseni lake anisaidie
 
Kuna jamaa alifungua saluni nzuri sana kwangu apa ila kinyozi anamuambia biashara hamna, jamaa akaamua kuifunga na akasamehe kodi yake kinyozi kanifuata eti mimi ndo niinunue yeye aendelee na kazi kwani biashara inalipa nikamfukuzia mbali nikapangisha mtu mwingine.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Alitaka akuingize kingi na wewe.
 
Kwakwel ateseka sana na hii biashara lakin moyo wangu unaniambia sipaswi kuiacha.
Mm i mfanyakaz na nina salun lakin vija kila week sound tu za hakuna wateja.
Nimeshafukuza mmoja huyu wa pil nae naona sound zishaanza..huwa nahis labda location ni shida maana ipo uchochoron.
Kero nyingine tuna share umeme na mama mwenye nyumba basi mzigo wote unakua wangu maana siwez acha umeme umeisha wakat bila huo hamna kazi.Hana ushirikia o kabisaa.
Biashara yangu ina mwez wa 5 sasa sidhan kama nimeingiza not more than 600,000/= kwa investment ya more than 2.5M
Kichwa kinauma kwel ila nimeamua niweke haya mawaz kando kwanza nimempa kaz wife awe anafuatilia kwa ukaribu maana yy kazin nai karib na ofis ilipo.
Lazima uwe na utaratibu mzuri wa kujua mapato yako kwa siku kabla haujampatia mkataba kinyoz wako
 
Kuna jamaa alifungua saluni nzuri sana kwangu apa ila kinyozi anamuambia biashara hamna, jamaa akaamua kuifunga na akasamehe kodi yake kinyozi kanifuata eti mimi ndo niinunue yeye aendelee na kazi kwani biashara inalipa nikamfukuzia mbali nikapangisha mtu mwingine.

Ni ukweli kwamba vinyozi ni janja janja na wanapiga hela, ila hesabu kwa boss ni maumivu makali kila siku kujiliza eti biashara hakuna.... hapo ilipofungwa amejuta mrija umeziba ndo anakwambia wewe uzibue ili aendelee kukupiga na kulialia.
 
Changamoto kubwa kabisa in this business ni vinyozi. Endapo ukimpta kijana anyejielewa na mchapa kazi hakika utaona matunda yake.

BTW, Huu uzi ni mzuri sana. Haupaswi kuwa archive.
 
Nliwai kuwa na salon,,

Ila kipande kipo palepale,,

Nlimpa uhuru kinyozi hadi akaonekana ye ndio owner[emoji23]

Mwaka juzi nikaifunga rasmi, nikauza [emoji16][emoji3]

Siku ya kupeana kipande anasema hali ngumu boss, wakati naona manywele kibao yametapakaaa[emoji23]
 
Back
Top Bottom