Kwa upande wangu nina miezi tisa saiz....wakati nafanya kazi mkoa fulani hivi nilikua na urafiki na jamaa mmoja na muda mwingi alikua yupo tu....
Then akaja kunieleza kua yeye masuala ya kunyoa na music anayaweza...
Then nikanunua vifaa vyote vya saluni, tukatafuta fremu na kazi ikaanza chapu...
Mi zangu ni kumwambia na wewe unatakiwa ufungue ofisi kutokana na ofisi hii hii na uwasaidie wazazi wako....mi muda wa kukufatilia sina ila kama unaipenda uliyonayo sawa....mi sina cha kupoteza....pambana kijana....mi rafiki yangu ni yule anayepambana....uamuzi ni wako kijana....umri bado mdogo na unanafasi kubwa sana ya kufanikiwa....ukifanya kwa uaminifu cha mwezako na chako utakifanya kwa uaminifu
Mpaka leo sinashida nae na akikwama sana kwenye kwa mwezi ni mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi anatuma....tupo mikoa tofauti but he is still keeping the trust na yupo na hali
Ninachojaribu kusema ni kwamba umpate mtu mshawishi tu biashara yeyote inakuaga poa