Tunaomjua Mwamba wa Lusaka (Chama) na makubwa aliyoyafanya katika ligi hii lazima tutafakari tuhuma alizopewa kuwa ni mtovu wa nidhamu

WSewe unajuwa zaidi ya viongozi?
 
WSewe unajuwa zaidi ya viongozi?
WEWE UNAE JUA TUAMBIE KASIMSMISHWA KWA SABABU GANI?

KAMA HAWAJATOA SABABU UKWELI UTABAKI HAPO JUU.

MMESAHAU KUWA MKUDE MLISEMA ANA UGONJWA WA AKILI??

HIZI TIMU ZA KARIAKOO ZINA DRAMA SANA SEMA WACHEZAJI WANA KAA KIMYA TU KULINDA HESHIMA YAO KWA MASHABIKI.

IPO SIKU WATAKUJA KUONGEA HADHARANI UTUMBO UNAOFANYWA NA VIONGOZI WA KARIAKOO.
 
Kama amezingua acha apate mfungo,hatuwez kuabudu mchezaji kana kwamba yey ndo kaibeba club toka 1936!ila tu pasiwepo uonevu kama amezingua acha aonje mfungo
MBONA KLABU HAITOI SABABU YA KILE ALICHOFANYA.
 
Mimi nasoma na nafata walilosema viongozi.

Wewe hulijuwi?
 
Hizo ni siasa za nje ya uwanja, Kuna wachezaji Kama Mogela au Mwameja walifanya makubwa Simba Ila mwisho wao ulikuwa mbaya. Tatizo ni viongozi hawajui Nini tatizo la timu kufanya vibaya wameanza kutuhumu wachezaji ovyo.
 
Mimi nasoma na nafata walilosema viongozi.

Wewe hulijuwi?
KIPI WALICHOKISEMA?

UTOVU GANI WA NIDHAMU? KUDAI PESA/POSHO NI UTOVU WA NIDHAMU?

KAMTUKANA NANI? KIONGOZI GANI ?HAJAINGIA MAZOEZINI AU KAFANYIWA SUB KAKATAA KUTOKA?

UTOVU WA NIDHAMU ALIKUA NAO MORSON HIYO IPO WAZI.
 
Wewe ni adui wa soka. Waajiri wamemchukulia hatua mwajiriwa wao, wewe unahoji nini?
 
Mipira ya kiafrika shida sana unaambiwa utovu wa nidhamu halafu huelezwi alichofanya mnabaki mitandaoni mnalumbana bila kujua chochote.
Club Gani Dunia I imewahi taja shutuma hizo? Nitajie na Kwa mchezaji gan?
 
Mke siku zote anaonekana mzuri na mwema kwa watu wa nje ila ukitaka habari zake kamili uliza kwa yule anayelala na kuamka nae kitanda kimoja
 
Chama aliota mapembe akadhani ni mkubwa kuliko team yenye miaka 88. Simba alipita marehemu Gaga, alipita Kibaden na wamepita mastaa wa maana wengi sana.

Chama alidengua mwanzoni mwa msimu wakati wa safarii ya Uturuki mpaka akabembelezwa ndio akaenda, keshakuwa na hulka za kibongo.
 
Kuchelewa mazoezini ni sababu tosha kabisa ya kumsimamisha, pia Benchikha ni kocha wa kiarabu mwenye kupenda mpira wa kasi wakati wa mechi. Chama hana kasi japo ana akili ya mpira. Pia hakabi wakati timu ikitaka kuulinda ushindi.
 
ALIDENGUA AU ALIKUA ANAHOJI MASLAHI YA MKATABA??

KWA NINI HAMPENDI MCHEZAJI KUOMBA KUONGEZEWA MASLAHI YA MKATABA??

HIYO IPO PANDE ZOTE MBILI IWE YANGA AMA SIMBA UKIGUSA MASUALA YA MKATABA LAZIMA UAMBIWE MTOVU WA NIDHAMU.
 
Unajua Chama kakosea Nini??

Ukijua hicho ndiyo uje UJENGE hoja.
Unataka ufahamu ili iweje? Sio kila jambo linaenda public,

Umepewa taarifa hata kama hutamuona uwanjani ujue ana changamoto.

Sababu nyingine unaweza kuweka wazi zikawa na madhara zaidi ya tatizo lilipo alafu mkarudi tena hapa kulaumu.

Simba kuna watu wazima punguzeni chokochoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…