falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
tumia lugha ya staha...wendawazimu hawaruhusiwi kupiga kurakum support kwenu kuna eefect gani kwake? ni wendawazimu wakenya ndo wanaopiga kura ninyi watanzania mna msupport... mbona it doesnt make sense? au mnadhani ni big brother hii?
we jamaa vpkum support kwenu kuna eefect gani kwake? ni wendawazimu wakenya ndo wanaopiga kura ninyi watanzania mna msupport... mbona it doesnt make sense? au mnadhani ni big brother hii?
[HASHTAG]#uhurutena[/HASHTAG]Safari hii UhuruRuto hachomoki. Wakenya tayari wamekwishaamua.
tumia lugha ya staha...wendawazimu hawaruhusiwi kupiga kura
kabla hujaendelea mmi nimkenya alafu unaeza thibitisha kua wendawazimu walipiga kura?mbona mwaka 2015 siyo tu walipiga wengine walipigiwa kura kabisa. sijajibiwa maswali yangu..mna support vipi? wakenya mnawaambia chagua uhuru kenyatta? hii inatokea hizi pande za kwetu tu. mambo ya ngoswe mwachieni ngoswe. siyo akili kuingilia ugomvi wa nyumba ya pili na kuchagua side
kabla hujaendelea mmi nimkenya alafu unaeza thibitisha kua wendawazimu walipiga kura?
nlifikisha..alafu mbona unazunguka ivi..unaeza toa thibitisho kua wendawazimu walipiga kurakwa hiyo ina maana wewe hukufikisha umri wa kupiga kura?
nlifikisha..alafu mbona unazunguka ivi..unaeza toa thibitisho kua wendawazimu walipiga kura
Najua kule unaelekea ndio nkakwambia tumia lugha ya staha...nlipiga kura haya sema sasa mi nichiziukisoma kwa makini utagundua nakujibu maswali yako humu humu. swali la mwisho. je wewe ulipiga kura?
Sijui uko kwingine but I can bet msa joho anapita kiurahisi sanaPoints of interest
1.Mombasa Joho Anatoboa kweli?
2. Nairobi is it Kidero,Sonko au Peter Kenneth?
3.North Eastern Maalim au Duale?
4.Cosmopolitan Eldoret Buzeki vs Mandago interesting duel.
mombasa joho atashinda nairobi pia sonko pia atashindaPoints of interest
1.Mombasa Joho Anatoboa kweli?
2. Nairobi is it Kidero,Sonko au Peter Kenneth?
3.North Eastern Maalim au Duale?
4.Cosmopolitan Eldoret Buzeki vs Mandago interesting duel.