Tunaomsupport uhuru tukutane hapa

Tunaomsupport uhuru tukutane hapa

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
wakuu habari

Hii ni thread maalum kabisa kwa ajili ya kujadiliana kwa sisi wafuasi wa Uhuru.uchaguzi wa mwaka huu umekuwa na ushindani mkubwa ila inatia moyo kuona bado wakenya wengi wanaimani na rais Uhuru. Hii thread inawahusu watanzania waliotayari kumsupport rais uhuru.mimi nina imani kubwa tarehe nane ushindi utabaki kwa uhuru,

mawazo chanya kupewa kipaumbele

[HASHTAG]#Uhurutena[/HASHTAG]

Mna support kwa pesa, kumpigia kura au hapa JF kujifurahisha?
 
Safari hii UhuruRuto hachomoki. Wakenya tayari wamekwishaamua.
 
kum support kwenu kuna eefect gani kwake? ni wendawazimu wakenya ndo wanaopiga kura ninyi watanzania mna msupport... mbona it doesnt make sense? au mnadhani ni big brother hii?
we jamaa vp
 
mbona mwaka 2015 siyo tu walipiga wengine walipigiwa kura kabisa. sijajibiwa maswali yangu..mna support vipi? wakenya mnawaambia chagua uhuru kenyatta? hii inatokea hizi pande za kwetu tu. mambo ya ngoswe mwachieni ngoswe. siyo akili kuingilia ugomvi wa nyumba ya pili na kuchagua side

tumia lugha ya staha...wendawazimu hawaruhusiwi kupiga kura
 
mbona mwaka 2015 siyo tu walipiga wengine walipigiwa kura kabisa. sijajibiwa maswali yangu..mna support vipi? wakenya mnawaambia chagua uhuru kenyatta? hii inatokea hizi pande za kwetu tu. mambo ya ngoswe mwachieni ngoswe. siyo akili kuingilia ugomvi wa nyumba ya pili na kuchagua side
kabla hujaendelea mmi nimkenya alafu unaeza thibitisha kua wendawazimu walipiga kura?
 
ukisoma kwa makini utagundua nakujibu maswali yako humu humu. swali la mwisho. je wewe ulipiga kura?

nlifikisha..alafu mbona unazunguka ivi..unaeza toa thibitisho kua wendawazimu walipiga kura
 
Points of interest
1.Mombasa Joho Anatoboa kweli?
2. Nairobi is it Kidero,Sonko au Peter Kenneth?
3.North Eastern Maalim au Duale?
4.Cosmopolitan Eldoret Buzeki vs Mandago interesting duel.
 
ukisoma kwa makini utagundua nakujibu maswali yako humu humu. swali la mwisho. je wewe ulipiga kura?
Najua kule unaelekea ndio nkakwambia tumia lugha ya staha...nlipiga kura haya sema sasa mi nichizi
 
Points of interest
1.Mombasa Joho Anatoboa kweli?
2. Nairobi is it Kidero,Sonko au Peter Kenneth?
3.North Eastern Maalim au Duale?
4.Cosmopolitan Eldoret Buzeki vs Mandago interesting duel.
Sijui uko kwingine but I can bet msa joho anapita kiurahisi sana
 
Points of interest
1.Mombasa Joho Anatoboa kweli?
2. Nairobi is it Kidero,Sonko au Peter Kenneth?
3.North Eastern Maalim au Duale?
4.Cosmopolitan Eldoret Buzeki vs Mandago interesting duel.
mombasa joho atashinda nairobi pia sonko pia atashinda
 
Back
Top Bottom