fisiemu lazima wamkubali propesa,Binafsi namuelewa sana Profesa. Ni mtu anayejua kusimamia anachoamini hata kama wengi hawamuelewi. Sio rahisi kwanza Profesa kueleweka na kila mtu isipokuwa sisi wachache wenye maono.
Sasa, mambo yasiwe mengi.
Tunaofurahishwa na mambo ya babu yetu ambaye tangu zamani tunajua yeye ndiye CUF na CUF ndiye yeye tukutane hapa kumtia moyo ili mahasidi wasifanikiwe.
Tukumbushane umuhimu wake na mchango alioutoa kwa taifa hili na hata kwa majirani.
Mimi nakumbuka alishiriki kukuza uchumi wa Uganda kupitia ushauri wake wa kitaalamu miaka ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao jamaa jeuri sana. Serikali ya jiwe iwape cha akiba kama kipo. Kama hamna basi wapambane na hali yao.Kaka kenya kuna uhaba wa chakula kipindi hiki, tunawasaidiaje hawa ndugu zetu.
Hahaa. Profesa aliona hili chaka. Labda hakupewa mgao?Kiukweli kabisa tangu Lowasa arudi nyumbani imenifanya nikumbuke maneno ya Prof Lipumba. So imenifanya nimuelewe sana. Alimkataa na hakusita kumsema hadharani. Wengi wakamuona Prof kama kichaa lakin saiz watu wamejitoa akili na sasa hawaelewi.
Profesa kafuata sheria na mahakama imempa haki yake. Hata Wanasheria wa upande wa pili walikiri jamaa kawabwaga kwenye battle mahakamani kupitia wakili wake.fisiemu lazima wamkubali propesa,
Unazionaje harakati za babu?Nimekuja. sema lingineView attachment 1049086
Sikh siyo nyingi Lowassa atakuwa boss wa slaa ndani ya chama hapo ndio utajua maana ya siasa ni mchezo machafu.Lipumba na Slaa ndio waliosimamia ukweli 2015 huko UKAWANI
Slaa hana chama. Lowassa hana tena power ya kuboss around kisiasa.Sikh siyo nyingi Lowassa atakuwa boss wa slaa ndani ya chama hapo ndio utajua maana ya siasa ni mchezo machafu.
Unamuongelea lowassa yupi mkuu huyu aliepewa mialiko mizito ikulu?.Slaa hana chama. Lowassa hana tena power ya kuboss around kisiasa.
Wake up!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] dah,akili zenu ndo hizi,its okaaayPia Wale wanao muelewa maalimu seif sharifu hamad wasipite bila LIKE ili tuwaonyeshe nguvu zetu MaProfesa Uchwara.
uzi Ndani Ya Uzi.
Unamuongelea lowassa yupi mkuu huyu aliepewa mialiko mizito ikulu?.
Huyu aliepokelewa na kamati kuu nzima Lumumba ndiyo hana nguvu?.
Huyu aliyesema amerudi nyumbani kwake tena asiulizwe maswali na kujazwa maneno mdomoni?.Hakuna mtu mwingine ndani ya ccm anayeweza kutamka hadharani asiulizwe uwepo wake ndani ya chama unakusudi gani.
Slaa ni mwanacha hai wa ccm hakuwai kurudisha kadi.
mie bwana mambo ya wana siasa huwa naangalia tu! Nasikia kaanza harakati tangia 1984
Kuwa ana akili kubwa sanaBinafsi namuelewa sana Profesa. Ni mtu anayejua kusimamia anachoamini hata kama wengi hawamuelewi. Sio rahisi kwanza Profesa kueleweka na kila mtu isipokuwa sisi wachache wenye maono.
Sasa, mambo yasiwe mengi.
Tunaofurahishwa na mambo ya babu yetu ambaye tangu zamani tunajua yeye ndiye CUF na CUF ndiye yeye tukutane hapa kumtia moyo ili mahasidi wasifanikiwe.
Tukumbushane umuhimu wake na mchango alioutoa kwa taifa hili na hata kwa majirani.
Mimi nakumbuka alishiriki kukuza uchumi wa Uganda kupitia ushauri wake wa kitaalamu miaka ile.
Sent using Jamii Forums mobile app