Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
Binafsi namuelewa sana Profesa. Ni mtu anayejua kusimamia anachoamini hata kama wengi hawamuelewi. Sio rahisi kwanza Profesa kueleweka na kila mtu isipokuwa sisi wachache wenye maono.
Sasa, mambo yasiwe mengi.
Tunaofurahishwa na mambo ya babu yetu ambaye tangu zamani tunajua yeye ndiye CUF na CUF ndiye yeye tukutane hapa kumtia moyo ili mahasidi wasifanikiwe.
Tukumbushane umuhimu wake na mchango alioutoa kwa taifa hili na hata kwa majirani.
Mimi nakumbuka alishiriki kukuza uchumi wa Uganda kupitia ushauri wake wa kitaalamu miaka ile.
Sent using Jamii Forums mobile app