Tunaomuunga mkono Profesa Lipumba tukutane hapa..

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,072
Binafsi namuelewa sana Profesa. Ni mtu anayejua kusimamia anachoamini hata kama wengi hawamuelewi. Sio rahisi kwanza Profesa kueleweka na kila mtu isipokuwa sisi wachache wenye maono.

Sasa, mambo yasiwe mengi.

Tunaofurahishwa na mambo ya babu yetu ambaye tangu zamani tunajua yeye ndiye CUF na CUF ndiye yeye tukutane hapa kumtia moyo ili mahasidi wasifanikiwe.

Tukumbushane umuhimu wake na mchango alioutoa kwa taifa hili na hata kwa majirani.

Mimi nakumbuka alishiriki kukuza uchumi wa Uganda kupitia ushauri wake wa kitaalamu miaka ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja. sema lingine
chadema kabibi.jpg
 
Kiukweli kabisa tangu Lowasa arudi nyumbani imenifanya nikumbuke maneno ya Prof Lipumba. So imenifanya nimuelewe sana. Alimkataa na hakusita kumsema hadharani. Wengi wakamuona Prof kama kichaa lakin saiz watu wamejitoa akili na sasa hawaelewi.
 
fisiemu lazima wamkubali propesa,
 
Kiukweli kabisa tangu Lowasa arudi nyumbani imenifanya nikumbuke maneno ya Prof Lipumba. So imenifanya nimuelewe sana. Alimkataa na hakusita kumsema hadharani. Wengi wakamuona Prof kama kichaa lakin saiz watu wamejitoa akili na sasa hawaelewi.
Hahaa. Profesa aliona hili chaka. Labda hakupewa mgao?

Ila me namuelewa tu vile anapambania haki zake kisheria na kipropaganda.

Yaani yuko fiti kote kote. Nyani mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia Wale wanao muelewa maalimu seif sharifu hamad wasipite bila LIKE ili tuwaonyeshe nguvu zetu MaProfesa Uchwara.

uzi Ndani Ya Uzi.
 
Slaa hana chama. Lowassa hana tena power ya kuboss around kisiasa.

Wake up!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuongelea lowassa yupi mkuu huyu aliepewa mialiko mizito ikulu?.

Huyu aliepokelewa na kamati kuu nzima Lumumba ndiyo hana nguvu?.

Huyu aliyesema amerudi nyumbani kwake tena asiulizwe maswali na kujazwa maneno mdomoni?.Hakuna mtu mwingine ndani ya ccm anayeweza kutamka hadharani asiulizwe uwepo wake ndani ya chama unakusudi gani.
Slaa ni mwanacha hai wa ccm hakuwai kurudisha kadi.
 
Modes wa hili jukwaa naomba huu uzi uupeleke kwenye siasa.
 
Unamuongelea lowassa yupi mkuu huyu aliepewa mialiko mizito ikulu?.

Huyu aliepokelewa na kamati kuu nzima Lumumba ndiyo hana nguvu?.

Huyu aliyesema amerudi nyumbani kwake tena asiulizwe maswali na kujazwa maneno mdomoni?.Hakuna mtu mwingine ndani ya ccm anayeweza kutamka hadharani asiulizwe uwepo wake ndani ya chama unakusudi gani.
Slaa ni mwanacha hai wa ccm hakuwai kurudisha kadi.

Huyo huyo ambaye alitumwa kwenda kuifanya kazi kule kwa makanjanja na kuikamilisha kikamilifu kisha kurejea.

Hayo maneno ya asiulizwe kwanini amerudi CCM uliyaelewa kweli anayaelekeza wapi au unataka kuspin?

Kwahiyo Dkt Slaa alikuwa bado mwanachama wa CCM hata kipindi kile anagombe urais eeh? Duuh! Sasa nyie mnajielewa kweli?

Anyway, turudi kwa Lipumba. Akija CDM vipi, atapewa free pass 2020?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi namuelewa sana Profesa. Ni mtu anayejua kusimamia anachoamini hata kama wengi hawamuelewi. Sio rahisi kwanza Profesa kueleweka na kila mtu isipokuwa sisi wachache wenye maono.

Sasa, mambo yasiwe mengi.

Tunaofurahishwa na mambo ya babu yetu ambaye tangu zamani tunajua yeye ndiye CUF na CUF ndiye yeye tukutane hapa kumtia moyo ili mahasidi wasifanikiwe.

Tukumbushane umuhimu wake na mchango alioutoa kwa taifa hili na hata kwa majirani.

Mimi nakumbuka alishiriki kukuza uchumi wa Uganda kupitia ushauri wake wa kitaalamu miaka ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa ana akili kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom