Tunaondoa tatizo la umeme mdogo (low voltage) katika nyumba,mashine,visima vya maji N.k

Tunaondoa tatizo la umeme mdogo (low voltage) katika nyumba,mashine,visima vya maji N.k

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Kutokana na kuongezeka kwa makazi ya watu huku ukubwa wa transformer za Tanesco zikibaki zilezile,kumepelekea maeneo mengi ambayo miji yake inakuwa kukabiliwa na tatizo la umeme mdogo hasa kipindi cha high consuption.

Vifaa kama vile AC, fridge,freezer,motor na mashine za kufulia zimekuwa zikishindwa kufanya kazi katika maneo yenye tatizo la umeme mdogo.

Hali hii imefanya watu wengi kuto furahia huduma ya umeme kutokana na low voltage.

Nimekuwa nikiunda mashine mbali mbali ambazo zinatumika kuondoa tatizo hili la umeme kwa muda mrefu sasa.

Hii ni aina nyingine ya VOLTAGE BOOSTER ambayo nimeiunda kwa kutumia technolojia ya PUSH-PULL three stage

Ambayo inaongeza umeme katika stage tatu ili kuweza kukabiliana na maeneo yenye extreme low voltage.

Kitu kingine kizuri kwa mfumo huu wa PUSH-PULL ni kwamba unaweza kuunda voltage booster yenye ukubwa zaidi ya kilo watt 100

Unaweza kutumia kifaa hiki kwa ajili ya kuendesha
-motor za visima vya mafuta kwa idadi yoyote ile.

-Kuendesha vyumba vya idadi yoyote ile vyenye AC

-Kwa ajili ya matumizi ya nyumba ya kuishi yenye vitu vizito kama vile AC,Motor za visima vya maji,mashine za kufulia,heater za maji n.k

Mashine hii ni ya nne ya mfumo wa PUSH-PULL kuweza kuunda

kati ya mashine Arobaini na mbili tulizowahi kuunda za kupambana na tatizo la low voltage.

Mashine za PUSH -PULL ambazo tumewahi kuziunda ni za kilo watt 8,kilo watt 24,kilo watt 52 hii ya kwenye picha ina kilo watt 12

Switching voltage yake ni Automatic sawa na mashine za mwanzo ambayo ni hii hapa katika mchoro:-

111111111111-png.199409

Tunatumia tekinolojia nzuri ya security kwa ajili ya kuilinda mashine yenyewe na mtumiaji.

12Kilowatt hii hapa chini:-

Hapa ikiwa eneo la matengenezo

tra-jpg.199411

Hapa imefungwa katika nyumba ya mteja

tr-jpg.199412

Muundo wa booster nyingine ni huu hapa

img_20130601_030304-jpg.707825

ytt-jpg.707828

mes-jpg.707826

mes6-jpg.707827

BEI ZA BOOSTER

Bei zinatofautiana kulingana na wattage

WATT 1000 = 300,000/=
WATT 2000= 500,000/=
WATT 3000 = 700,000/=
WATT 4000 = 800,0000/=
WATT 5000 = 1,000,000/=
10KV = 1,600,000/=

Call 0629068815
 
Bei zinatofautiana kulingana na wattage

WATT 1000 = 170,000/=
WATT 2000= 300,000/=
WATT 3000 = 400,000/=
WATT 4000 = 600,0000/=
WATT 5000 = 800,000/=
10KV = 1,400,000/=
 
WATT 1000 = 300,000/=
WATT 2000= 500,000/=
WATT 3000 = 700,000/=
WATT 4000 = 800,000/=
WATT 5000 = 1,000,000/=
10KV = 1,600,000/=

Call 0657115587
 
Nina swali hapo.. Je kama umeme utakua unaongezeka na kupungua ina regulator ambayo haitaruhusu umeme uliozidi kwenda katika kifaa husika?
 
Nina swali hapo.. Je kama umeme utakua unaongezeka na kupungua ina regulator ambayo haitaruhusu umeme uliozidi kwenda katika kifaa husika?
Ndiyo infanya regulation ya voltage pia.Hivyo output yake inakua haibadiliki
 
Nina swali hapo.. Je kama umeme utakua unaongezeka na kupungua ina regulator ambayo haitaruhusu umeme uliozidi kwenda katika kifaa husika?
VOLT GUARD = Inahakikisha kiasi cha voltaji kinacho ingia kiwe kinachotakiwa yaani kisipande wala kisishuke,na vlevle kinachotoka kwenda katka kifaa.

Ikitokea volt imepanda au imeshuka voltguard hua inazuia umeme usifike katka kifaa.

STABILIZER=Hii ni kifaa ambacho kina uwezo wa kuongeza kiasi cha umeme unapokua umepungua ama kupunguza kiasi cha umeme unapokua umezidi kwa kiasi cha wastani wa +60 voltage au -60 voltage "respectively"

Ikitokea kiasi hicho kimeongezeka zaidi ya +60 voltage au kupungua kwa zaidi y -60v stabiliza hua inajizima (hapa hufanya tendo kama la voltage guard).
Hivyo stabilizer ndani yake ina mfumo wa voltage guard ila voltage guard haina mfumo wa stabilizer.

VOLTAGE BOOSTER= Hii inafanya kaz kama stabilizer tofauti yake ni kwamba kiasi chake cha kukabiliana na fractuation ni kikubwa ambapo kinafika hadi + or - 120voltage.
 
Hiyo voltage booster inatofautiana vipi na STABILIZER au VOLT GUARD

Na ubora wake Ni upi kuzizidi STABILIZER au VOLT GUARD

Sent using Jamii Forums mobile app

Back
Top Bottom