Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali.
Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia tunajikuta tusha haribu.
Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume mje wazee wa Shaolin Temple
Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia tunajikuta tusha haribu.
Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume mje wazee wa Shaolin Temple