Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hamna hiyo kitu mzee, yaani wale wanaokua bar wote wameenda kusahau matatizo yao kwa muda??Kulewa ni kuisahulisha akili isiwaze matatizo kwa muda
Ile starehe kama watu waovuta bangi, sigara, unga, ngono nk.
Ile hali ya kua umelewa ndo watu huipenda, ile kukutana na marafiki story mingi ivoo yani. Sema kwakua hujawah kuonja huwezi elewa.