Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Nani kakwambia?Pombe inanoga penye kelele ikinywewa nyumbani ugeuka juice
Nyie ni mashehe na wachungaji?Tuna TV Tena flat nchi 50 majumbani lakini mpira unanoga zaidi bar au vibanda umiza.
Pombe ya nyumbani haina ladha kama ilivyo ile ya bar... Mazingira ndio mpango mzima na mandhari yake.. Na zile sura mpya unazozionaKama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali.
Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia tunajikuta tusha haribu.
Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume mje wazee wa Shaolin Temple
Na nilikuwa sijui aisee!Kumbe hadi masikio yake ni asusa nzuri tu!Abarikiwe sana.🙏😂Tuacheni aisee. Mimi na Mshana Jr tunanyonya vyupa mchana kweupeeee na nguruwe 🐽 anakuwepo. Nasisitiza tena nguruwe.
Jamani nguruwe mtamu aiseee
Unanyweaje masanga nyumbani?Unakunywa huku unaangalia watoto kama na wao wanakuangalia?Utumwa huo!Pombe ya nyumbani haina ladha kama ilivyo ile ya bar... Mazingira ndio mpango mzima na mandhari yake.. Na zile sura mpya unazoziona
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani nguruwe mtamu aiseee[emoji23]Tuacheni aisee. Mimi na Mshana Jr tunanyonya vyupa mchana kweupeeee na nguruwe [emoji201] anakuwepo. Nasisitiza tena nguruwe.
Jamani nguruwe mtamu aiseee
Hahahaha.. Huna hata wa kumchokoza.. Pombe za kunywea home chunguUnanyweaje masanga nyumbani?Unakunywa huku unaangalia watoto kama na wao wanakuangalia?Utumwa huo!
Hukawii kufokea watoto.Unapiga zako vyombo halafu unarudi kwa mbwembwe nyingi home.Unagonga mlango na mama Bhoke anajua kabisa ninja amefika.Hahahaha.. Huna hata wa kumchokoza.. Pombe za kunywea home chungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea unaichokoza kwa kiwango kipi!Pombe haijawahi kumwacha mtu salama.
Halafu anakujà binti yako wa shule ya msingi, anakwambia, baba hutubtumajì tuchungu unatokunywa ni machozi na mikojo ya shetaniHahahaha.. Huna hata wa kumchokoza.. Pombe za kunywea home chungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe za Wakurya aisee..... Tata mang'ana?Hukawii kufokea watoto.Unapiga zako vyombo halafu unarudi kwa mbwembwe nyingi home.Unagonga mlango na mama Bhoke anajua kabisa ninja amefika.
Wachungaji walevi ni wachawiKama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali.
Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia tunajikuta tusha haribu.
Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume mje wazee wa Shaolin Temple