Tunaonywea pombe nyumbani kwasababu mbalimbali ikiwèmo kuficha tabia yetu ya ulevi tuonane hapa

braza masanga ya kujificha yatakusababishia kisukari na presha.
 
Sikubahatika kupita huko na umri wa kujifunza pombe ulishanipita
Uliposema pombe tamu kwenye kelele wakati mlevi anachotaka ni pombe tu haijalishi mazingira.

Kama umri umeenda usijaribu kabisa, huwa mnafauka vibaya sana mkianza pombe ukubwani.
 
sawa na utamu wa mishikaki ya barabarani na ujitengenezee nyumbani
Au mahindi ya kuchoma ya pilipili ya mtaani.
Pana vitu havinogi ukivila home.
Mfano
Chips kuku,
Mihogo ya kukaanga na kachumbari
Bangi
Pombe
Mahindi ya kuchoma
Kitimoto
Mpira
Supu
 
Uliposema pombe tamu kwenye kelele wakati mlevi anachotaka ni pombe tu haijalishi mazingira.

Kama umri umeenda usijaribu kabisa, huwa mnafauka vibaya sana mkianza pombe ukubwani.
Mimi niliikata kitambo sana tangu primary so ngumu sana kupombeka ukubwani kwa stress zipi
 
Hii tabia wanaifanya jamaa zangu walokole wanaojidai mbele za watu kuwa pombe ni mbaya huku nyuma ya pazia wanaipenda kweli kweri.
 
pombe ni starehe kama ilovyo ngono wala sio kuondoa stress kama wwngi wanavyoitumia.

Na ni makosa sana ukiwa na stress afu ukaenda kulewa eti uziondoe.
Kulewa ni kuisahulisha akili isiwaze matatizo kwa muda
 
Nanywea pombe nyumbani kwa starehe zangu wala sijifichi na sina mpango wa kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…