Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hamna hiyo kitu mzee, yaani wale wanaokua bar wote wameenda kusahau matatizo yao kwa muda??Kulewa ni kuisahulisha akili isiwaze matatizo kwa muda
Chai ina faida gani!?pombe haina faida
Ni moja ya kipelekeo simaanishi wote wanalewa kwa sababu mojaHamna hiyo kitu mzee, yaani wale wanaokua bar wote wameenda kusahau matatizo yao kwa muda??
Ile starehe kama watu waovuta bangi, sigara, unga, ngono nk.
Ile hali ya kua umelewa ndo watu huipenda, ile kukutana na marafiki story mingi ivoo yani. Sema kwakua hujawah kuonja huwezi elewa.
Chai ni uwongoChai ina faida gani!?
Mbaya sana dhambi ya unafikiHii tabia wanaifanya jamaa zangu walokole wanaojidai mbele za watu kuwa pombe ni mbaya huku nyuma ya pazia wanaipenda kweli kweri.
Haha hah haha zutu likiisha anarusha kaungo kakeUkimuona mtu ni mlevi pigia mstari kua huyo sio mchawi.
Atawanga muda gani kila usiku yuko high??
SawasawaNanywea pombe nyumbani kwa starehe zangu wala sijifichi na sina mpango wa kuacha.
AiseeeWachungaji walevi ni wachawi