Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Uliacha lini kujidekesha?Dooh!
Ukishatangaza hivi kwenye social media inakuwa kama matangazo ya biashara zaidi.View attachment 3700083
Moja kati ya maajabu ya ndoa nyingi ni wanandoa kuacha hizi kachumbari za mapenzi. Mwanamke anaacha kumdekea mumewe, anaacha kumuogesha, anaacha kumheshimu, anaacha kumnyenyekea, anaacha kuwa submissive. Aacha vitu vingi alivyovitoa wakati wa uchumba.
Vivyo hivyo kwa mwanaume, anaacha kumpa attention mke wake, anaacha jokes, anaacha romantic talks, inabaki mama Junior panua nikurenge.
Wale wachache wanapata hizi raha humu hatuzidi 20
Huyo hakuwa anatangaza, tv ilimchukuaUkishatangaza hivi kwenye social media inakuwa kama matangazo ya biashara zaidi.
Yani inakuwa kama you are doing it for the likes, you are not doing it for the love.
Huyo hakuwa anatangaza, tv ilimchukua
Kama ni mtu kakaa na mpenzi wake TV ikamchujua tu sawa.
Hapo tangazo limewafuata wao wao hawajajitangaza.
Yani unapojisikia haja ya kuwaonesha walimwengu kwamba wewe una mpenzi wako mnapendana sana tu, ujue hapo kuna zaidi ya hayo mapenzi yenu na mpenzi wako.
Kuna kuwaringishia walimwengu wakujue na wewe una mpenzi.
Ndiyo hayo matangazo yenyewe.
Na inawezekana kuna mapenzi, lakini hujatosheka na hayo mapenzi unataka watu wakuone.
Unafanya show.
Unaleta status anxiety.
Walioridhika na mapenzi utawakuta wamekaa zao kwenye benchi wanalishana, yani hata kama unawaona, ni kwamba imetokea tu umewaona kwa sababu hawajifichi, lakini si kwa sababu wanajitangaza.
Wabishe kwa hoja tu.
Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake.
Sasa huu ni ushamba mwingine wa kawaida kabisa. Nani alileta huu ushamba?
Huu ushamba unatuletea kero Mamasta kuonekana mbona haukomenti status zangu? Mbona hujapost happy birthday ya mtoto? Mbona hunipost? Pumbavu kabisa
Mwanaume mzima na akili zako unampost mkeo status, nini malengo...
- Kipenzi Changu
- nani status ushamba
- Replies: 84
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Hili tulilijadili sana juzi hapa. Binadamu wabishi wakatubishi. Sasa wewe umeliweka vizuri
🤣🤣🤣Huyo dada hapo ndo anadeka?
Matukio yakianza urudi utuambieView attachment 3700083