Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo kaunta hapa maeneo ya Mbezi...Habari za wikiend wandugu,,,,,
Niende Moja kwa Moja kwenye mada
Mimi nikienda bar Huwa naenda kukaa viti vya juu pale kwa muhudumu huku nikiendelea kufyonza mvinyo taratibu sana
Share experience yako
Mimi nikienda bar halafu nisikae KAUNTA naona kama sijakunywa pombeNipo kaunta hapa maeneo ya Mbezi...
Nini kinakufanya upapende hapo kaunta?Habari za wikiend wandugu,,,,,
Niende Moja kwa Moja kwenye mada
Mimi nikienda bar Huwa naenda kukaa viti vya juu pale kwa muhudumu huku nikiendelea kufyonza mvinyo taratibu sana
Share experience yako
Huwa sipendi watu wajue nimekunywa kiasi gani cha pombeNini kinakufanya upapende hapo kaunta?
Ubarikiwe mtumishiNgoja nipige pasi nguo za kanisani kesho kwanza
Uliwezaje kuacha bia? Mimi huwa naacha na sitamanigi kabisa. Sema sasa huwa najihisi mpweke mwishowe nairudia tena ingawa nakuwa sinywi sana.Kipindi nakunywa bia seat yangu ilikuwa ni kaunta tu, mpaka sasa naenda baa naagiza soda nakaa kaunta pia
KumbeeeeeeNna muda sijakanyaga bar maana nlihamia dukani kwa mangi
Ila kaunda ndy zilikuwa zangu na sababu kuu kukaa kaunda
Ukiwa kaunta kuchomekewa bill ni ngumu,
Ova
We unayekunywa soda nikukute mbinguni ole wako na wewe uchomwe Moto wa milele Huku maini yako yakiwa hayajakaangwa kwa pombe.Malevi bwana, huwaga yanajionaga ni majitu yenye maana na yanafanya kitu cha maana kweli.
Dhambi ni mbaya na inaleta utumwa. Majitu yanakunywa mavitu machungu. Wanajua kabisa kwamba hayo mavitu machungu yanaharibu maini yao, wengine wanajinyea baada ya kunywa hayo madude lakini bado wanayangangania na kuyaona ya maana. Mungu awasaidie kwa kweli.