Tunaopenda kukaa KAUNTA kwenye viti vya juu kabisa tuonane hapa

Me kote sawa tu ila zaidi nikiwa counter za club au bar za beach...ila sehemu Kuna kitimoto hapana aisee nakaa Pembeni huko no kuchorana..
 
Malevi bwana, huwaga yanajionaga ni majitu yenye maana na yanafanya kitu cha maana kweli.

Dhambi ni mbaya na inaleta utumwa. Majitu yanakunywa mavitu machungu. Wanajua kabisa kwamba hayo mavitu machungu yanaharibu maini yao, wengine wanajinyea baada ya kunywa hayo madude lakini bado wanayangangania na kuyaona ya maana. Mungu awasaidie kwa kweli.
Wewe usiyekunywa umefanya ninj cha maana?
 
Mimi ukiniona kaunta ujue na kibunda nataka wavimba macho wanione na huwa naangalia watu wengi wanakunywa nini mimi nakula kinywaji tofauti na bar nzima.Tena nilivyo na mbwembwe huwa kinywaji nakipitishia kwenye pembe ya mdomo.Simu moja tu tukutane benki.
 
Wewe usiyekunywa umefanya ninj cha maana?
Dogo umepata mzigo wako uliouacha kwenye gari? We sio hadhi yangu, nilikuona kule kwenye picha uliyotupia kwenye uzi wa Bujiji. Umri wako ni sawa na binti yangu Gifz. Siwezi ongea nawe. We fanya kazi ya kutawadha vikongwe na kuuza condom kwenye ile NGO unavyofanya kazi.
 
Habari za wikiend wandugu,,,,,
Niende Moja kwa Moja kwenye mada
Mimi nikienda bar Huwa naenda kukaa viti vya juu pale kwa muhudumu huku nikiendelea kufyonza mvinyo taratibu sana
Share experience yako
Mnatia huruma sana wapenda viti virefu mkilewaga mnapinduka na hayo maviti mnapigiza visogo chini sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Malevi bwana, huwaga yanajionaga ni majitu yenye maana na yanafanya kitu cha maana kweli.

Dhambi ni mbaya na inaleta utumwa. Majitu yanakunywa mavitu machungu. Wanajua kabisa kwamba hayo mavitu machungu yanaharibu maini yao, wengine wanajinyea baada ya kunywa hayo madude lakini bado wanayangangania na kuyaona ya maana. Mungu awasaidie kwa kweli.
Oneni hii takataka,ww vitu vysko vitamu vimekufikisha wapi
 
Malevi bwana, huwaga yanajionaga ni majitu yenye maana na yanafanya kitu cha maana kweli.

Dhambi ni mbaya na inaleta utumwa. Majitu yanakunywa mavitu machungu. Wanajua kabisa kwamba hayo mavitu machungu yanaharibu maini yao, wengine wanajinyea baada ya kunywa hayo madude lakini bado wanayangangania na kuyaona ya maana. Mungu awasaidie kwa kweli.
Inabidi ufe huku maini na figo vikiwa nyang'anyang'a kwa kvant na konyagi mpaka Yesu anakutolea mfano kwa wengine kwa kukusimamisha na kuwauliza hivi; nikimsamehe dhambi huyu ambaye maini yake yapo nyang'anyang'a kwa ulevi au huyu ambaye amejifia na maini yake yakiwa mazima kabisa, je ni yupi atanipenda zaidi?

Wote tunamjibu, huyo ambaye hana maini.
 
Kwanza anataka kufa na maini mapya akamlingishie nani???
 
Inabidi ufe huku maini na figo vikiwa nyang'anyang'a kwa kvant na konyagi mpaka Yesu anakutolea mfano kwa wengine kwa kukusimamisha na kuwauliza hivi; nikimsamehe dhambi huyu ambaye maini yake yapo nyang'anyang'a kwa ulevi au huyu ambaye amejifia na maini yake yakiwa mazima kabisa, je ni yupi atanipenda zaidi?

Wote tunamjibu, huyo ambaye hana maini.
hahahahahahahaha
 
Malevi bwana, huwaga yanajionaga ni majitu yenye maana na yanafanya kitu cha maana kweli.

Dhambi ni mbaya na inaleta utumwa. Majitu yanakunywa mavitu machungu. Wanajua kabisa kwamba hayo mavitu machungu yanaharibu maini yao, wengine wanajinyea baada ya kunywa hayo madude lakini bado wanayangangania na kuyaona ya maana. Mungu awasaidie kwa kweli.
Dhambi Ni Nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom