ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Minafiki inajiona mijitu ya maana sana, ungeuruka huu uzi kungekuwa na shida gani.Walevi mnawafatilia Kila siku ila wao hawana na habari zenu.Malevi bwana, huwaga yanajionaga ni majitu yenye maana na yanafanya kitu cha maana kweli.
Dhambi ni mbaya na inaleta utumwa. Majitu yanakunywa mavitu machungu. Wanajua kabisa kwamba hayo mavitu machungu yanaharibu maini yao, wengine wanajinyea baada ya kunywa hayo madude lakini bado wanayangangania na kuyaona ya maana. Mungu awasaidie kwa kweli.