Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Ya kwako ipo wapi?Leo watu wanatia story tu!picha awatupii kabisa!
Sawa mkuuNgoja niombe ushauri kwanza kwa member wengine.
Jf kuna vitotoNgoja tuutendee haki uziView attachment 2180726
Mnaweza kutana mahala mnavimbiana kumbe ni mtu na mwanae hahaaJf kuna vitoto
Yaani,unavimbiana na matusi juuMnaweza kutana mahala mnavimbiana kumbe ni mtu na mwanae hahaa
Mashangazi ndo tupo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hahahaha.humu kuna nani? We mtata kumbe eeh?
Ipo humuYa kwako ipo wapi?
Master wa mademu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Master wa mademu
Lazima awakamue sana kimasihara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NionyesheIpo humu
πππHapana, tulishakubaliana huku hamna warembo
Ni dogo sanaLazima awakamue sana kimasihara
Mashallah......Ila Wanaume wa hivi wanajua kuhonga yaani mpaka roho anakupa aina hii ndo ugongwa wangu π¬
Nakusalimia TichaaNiambie boss wangu [emoji4]
Mi noma sana, ila simfikii FaizaFoxy , ana uwezo wa kubishana kila jukwaa na anakomaa kichizi, bado la wiki likimwishia ananunua la mwaka ili abishane tu.We jamaa unaonekana mbishi sana, Kwa muonekano tu Mkuu lakini ?
Bujibuji Simba Nyanaume inaelekea wewe si mtu wa mazoezi hata kidogo...uko rafu sana kimuonekano. Je, wewe ni Msukuma, Mnyantuzu, Mnyamwezi, Mjaluo, Mnyakyusa, Mmang'ati, Mmasai, Muha, Mkurya?