Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Kuna nini huko?[emoji28]
Dadako nimezeeka siku hizi[emoji28][emoji28][emoji28]
Nimeshakutag kuleee, kikubwa kuwa na moyoo, viginevyo utalia hadi machozi yakauke. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nichek..Maana App. Notification ni kipengele...
Unachekesha Au?[emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] huko uzi utacheka ktk comments, ila post enyewe mmmmh unaweza usimalize km una roho ndogo
 
Sasa si tushakubaliana picha hatupigi tena mzee mwenzangu[emoji1787][emoji1787]
Sasa ndio hapo nashangaa unaniuliza picha mzee mwenzangu, maana utaiona picha ya ujana nimepiga raizoni zangu swaafi, kumbe sasa hivi mdomo umejaa mapengo ubwabwa siwezi sema..

Muombe hata mtu akuchore tu[emoji23]
 
@Makiwendo hivi kile kipaji chako cha uchoraji bado kipo?
 
Bado anacho, mwambie akuchore tu.

Nakupa mualiko wa sikukuu kabisa, isifike siku ya siku ukawa unalalamika mzee mwenzangu, najua sisi vijana wanatusahau, tukumbukane, tubebane wenyewe kwa wenyewe mzee mwenzangu.
 
Back
Top Bottom