Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Si unajua Sisi wazee wa pwani tunapenda mambo matamu mjukuu wangu?😀😀

Huyo ni bibi yako
nakubaliana na wewe maana mimi pia naishi pwani, huku unaweza kua na miaka 30 halafu ukwa na bibi yako ana miaka 20 kisa tuu ni mke wa babu.
 
Kwasababu unapenda kususa pia
Kususa? Mimi napenda kususa?

IMG_20220406_210959.jpg

Nimewahi kususa nini?
 
Back
Top Bottom