Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji1787] kumbeeUnaweza kuamini muanzisha mada ndie alianzisha ID mpya na kujiita gilesi...!![emoji23][emoji23]
Kweli sura sio roho..[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787] kumbeeUnaweza kuamini muanzisha mada ndie alianzisha ID mpya na kujiita gilesi...!![emoji23][emoji23]
Kweli sura sio roho..[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji1787]Hapo unavyofanania hata wateja hawawezi kuja dukani maana watajua ni msukule umekaa hapo.
Hongera sana MkuuPhaller wewe[emoji28][emoji28][emoji28]
Mchuchu amegoma kutoa kibali...!!😊.
Mmmh...! Kwamba ndio wewe msumbufu wewe?. Hapo uko kama umetoka kupanda mihogo kweli. Sidhani
Wa kwenye avata ndio buji og.
Ya nini mkuuHongera sana Mkuu
Mchuchu amegoma kutoa kibali...!!😊.
Mkuu anaona ka kitambi ka komoni kamekaa pahala pake
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Shika adabu yako
mjomba wako anajua kua umeweka picha yake huku mkuu!?
mzee katisha na hiyo wallpaper
Babu
Si unajua Sisi wazee wa pwani tunapenda mambo matamu mjukuu wangu?😀😀mzee katisha na hiyo wallpaper
Nambie mjukuu wangu mawardatBabu
Shwari[emoji3][emoji3][emoji3]Nambie mjukuu wangu mawardat
Kwani Mimi siyo babu mawardat?Shwari[emoji3][emoji3][emoji3]
Unatamani kuitwa babu eeeeh
Wewe ni dogo bana,[emoji2442][emoji2442][emoji2442]Kwani Mimi siyo babu mawardat?