Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Huyu huwa ananitania sana ndo mana na yeye nilimkomalia. Pazia nzuri ila ni ukorofi tu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah we
 
Tabia mbaya[emoji54]
Sasa sikumbukumbu jamani simuoneshi member yoyote zaidi yamm[emoji3059][emoji3059] mualiko hutaki, unapenda Ndizi au muhogo au sambusa wapi pale uji wa msomali na juice ya kindereko [emoji38][emoji38].

Aliyenifata pm umeskia mfate mwenyewe akupe picha zake kuna watu sio humu.
 
Back
Top Bottom