Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Nilijua weww ni mzee wa miaka 70 kumbe kijana kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezeeka sana sema tu dada zenu wananitunza vyema.... tafuta hela, ng'ombe mzima kuchinjwa nyumbani sio lazima upatwe na msiba au harusi.

Nenda Pugu Mnadani, nunua ng'ombe mkubwa kachinje nyumbani mfanye mashindano ya kuchoma nyama
 
Back
Top Bottom