Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Pole na ban, wamekuachia lini?
shukran sana wameniachia tarehe 6.....
bani zangu nyingi huwa zinaanzia ijumaa jioni, mara nyingi mida hiyo nakuwa mtungi.....
sasa kuna tunjemba huwa tunanikorofisha time hizo lazima nitutandike barabara......
nikiamka asubuhi nakutana na ban...
tatizo hawa mods hawatupi haki ya kusikilizwa kabla ya kutoa adhabu.....
 
Dah.... kuna haja ya kuidai haki ya kusikilizwa kwa nguvu zote. Pia issue ya ban isiwe maamuzi ya mod mmoja.

Pia kungekuwa na adhabu ndogo kama Read only, au read and like only
 
[emoji23][emoji23]
giphy.gif
Daah mapema hii jmn
 
Back
Top Bottom