Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Watazipata, japo na mie nimehama kwa muda kulee.
Napambana na nyuzi zingne tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Dogo...

He he he...Na wewe umepumzika kule tena...Nafasi yako umemwachia nani sasa...

Kuna siku nilisoma comment yako moja kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilicheka..hadi leo nikikumbuka nacheka hovyo...

Mtoto una balaa sana wewe...
 
images - 2022-03-16T220835.092.jpeg
 
Sawa Dogo...

He he he...Na wewe umepumzika kule tena...Nafasi yako umemwachia nani sasa...

Kuna siku nilisoma comment yako moja kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilicheka..hadi leo nikikumbuka nacheka hovyo...

Mtoto una balaa sana wewe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipi hiyooo sasa dada angu?
Sahivi nimekua mkubwa, imebidi utoto niache tyuuh, hakna namna.

Aseeeeh selfika nimepumzika week ya 3 sasa, comment ipi au inahusu nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mnisamehe tyuuh.
 
muonekano usikutishe nitunuku tunda ilo uje ule mrejesho hapa kama mimi mtoto au lah...
Kwa muonekano wako utanifia kifuani bureee, mie huniwezi hata.
Sitaki case ya kuwafanya watu wawe wajane na yatima, tena kwaresm hii akuuuj [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipi hiyooo sasa dada angu?
Sahivi nimekua mkubwa, imebidi utoto niache tyuuh, hakna namna.

Aseeeeh selfika nimepumzika week ya 3 sasa, comment ipi au inahusu nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mnisamehe tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ya trekta la mkopo kwenye majaruba ya Mpunga...
Nilicheka jamani[emoji23][emoji23]Hapa penyewe naandika kwa kucheka...
Mtoto hovyoo sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada nimecheka kwa nguvu km chizi,

Wallah mnisamehe tyuuuh. Kna mtu ashawahi nambia ile comment ka screenshot, kila akitaka kucheka anaisoma woiiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom