tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unipee picha yangu lakini we dada!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba kinipate.[emoji28]
Twende kaziNiko hapa kuutendea haki kisawasawa huu uzi
Asante sana, siku yangu imekuwa njema kabisa.Tupo mkuu
Nina kazi nayo[emoji28][emoji28]Si unipee picha yangu lakini we dada!!!
Hii ni kweli kabisa Asante mkuu kwa kunikumbushaWazuri wa sura mpendwa, ndani yetu ni wabaya mno, mno!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nina kazi nayo[emoji28][emoji28]
Nataka niiweke DP hapa kwa muda kadhaa[emoji28]
Mashallah! 😍😍
Na mwenye enzi akaipokee funga yako, akusamehe madhambi yote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jizime tu data, halafu hivi sikudai?
Nakusalimia ostazat
Nishapona.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pona huo Ugonjwa wako kwanza[emoji28][emoji28]
Mambo yangu umeyaweka pending unaona raha siyo?[emoji28]
Kwa sababu zilizo ndani na nje ya uwezo wangu!Kwanini Elly?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishapona.
Mambo gani tena? Mie na mambo yako wapi na wapi[emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]
AmeenNa mwenye enzi akaipokee funga yako, akusamehe madhambi yote.
Mkuu wewe ni mtu wa pwani.unafanana na kijana wangu fulaniKwanini tunaweka picha tunaficha na emoji?
Kwanini tunaweka picha halafu tunazifuta kabla wengine hawajaona?
Vyema huu uzi ni wa kujiachia bana,ya nini kujifichaficha,kuliko hivyo ni bora usiwe kabisa.View attachment 2179025
Owahi gobhona ngoko ng'hima yahelaga?
Sawa nimekuelewa...Kwa sababu zilizo ndani na nje ya uwezo wangu!
MzimzNakusalimia ostazat