Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Bwiru -Mwanzamazingira ya wapi hii...huwa napenda sana mazingira ya namna hii very natural...nakumbuka hali ya hewa ya bukoba..very natural
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwiru -Mwanzamazingira ya wapi hii...huwa napenda sana mazingira ya namna hii very natural...nakumbuka hali ya hewa ya bukoba..very natural
Ila Wanaume wa hivi wanajua kuhonga yaani mpaka roho anakupa aina hii ndo ugongwa wangu 😬
Ila Wanaume wa hivi wanajua kuhonga yaani mpaka roho anakupa aina hii ndo ugongwa wangu [emoji51]
Mie leo sina nguvu za kucheka[emoji1787]Ila Wanaume wa hivi wanajua kuhonga yaani mpaka roho anakupa aina hii ndo ugongwa wangu [emoji51]
Jamani[emoji846]Tutakutana peponi kama mtume na mkewe wa kwanza
Nakwambia serious wakipenda au ukipendwa na aina hii Kipenzi kama una Kona kona tulia ni kwanza wanajua kutunza .Mie leo sina nguvu za kucheka[emoji1787]
Eti mpaka roho[emoji23]
Nipo
Ni kweli hawanaga longolongo kama wapaka podaNakwambia serious wakipenda au ukipendwa na aina hii Kipenzi kama una Kona kona tulia ni kwanza wanajua kutunza .
Wow hapo bado toa huo mkono my wangu
Wow hapo bado toa huo mkono my wangu
Dogo rudia picha hiyoEeeh
Toa mkonoEeeh
Ila Wanaume wa hivi wanajua kuhonga yaani mpaka roho anakupa aina hii ndo ugongwa wangu [emoji51]
We komaa na wauza sura na walamba mdomo😩Kumbee[emoji23][emoji23]
We komaa na wauza sura na walamba mdomo[emoji30]
😂😂kichwa kiko njema kumbe😍Hao sio michongo yangu kabisaa yaani...sitaki kugombania dressing table na mtoto wa mtu[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23]kichwa kiko njema kumbe[emoji7]
No kila mtu ana sifa zake anapotaka kuingia kwenye love ila kwa mimi hao niliwakata zamanii😬Ulijua slei kwini eehh[emoji23][emoji23]
Tichaa [emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao sio michongo yangu kabisaa yaani...sitaki kugombania dressing table na mtoto wa mtu[emoji2][emoji2]