Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Hebu weka picha bhana....JF kama pilau, atajikaza masaa kadhaa tu, atalegeza uzi[emoji23]
Nataka kuchek out kwa kidogo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu weka picha bhana....JF kama pilau, atajikaza masaa kadhaa tu, atalegeza uzi[emoji23]
Aliyepo mahenge nyuma ya ikulu ndogo anitafute [emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]Sasa si ungesogea had peramiho nawee ungeiona pale mission, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo kigamboniUnapatikana wapi nije kukupiga?
Picha sina mimi si mpnz wa kupiga picha kabisa, mara ya mwisho kupost tu kwenye mtandao wa kijamii sikumbuki lini.Hebu weka picha bhana....
Nataka kuchek out kwa kidogo..
Nami naioenda swaumu yangu[emoji1]Ishia hapo hapo Makaveli....
Naipenda kwaresma yangu[emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2]sawaNipo kigamboni
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Doh!!! Ila wewe.[emoji28]
Si amesema amekutag mahali ukasome? Nini kumchosha msichana wa watu hivyo?[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kimeumanaaaaaaaahAahh.. Hata kuutafuta siutafuti
We hama tu JF kabisa[emoji1]
Nipo hapa. TPB bankAliyepo mahenge nyuma ya ikulu ndogo anitafute [emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
Haya ndio mambo sasa mzee mwenzangu, asante sana.Bado anacho, mwambie akuchore tu.
Nakupa mualiko wa sikukuu kabisa, isifike siku ya siku ukawa unalalamika mzee mwenzangu, najua sisi vijana wanatusahau, tukumbukane, tubebane wenyewe kwa wenyewe mzee mwenzangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imekuwaje tena?
Wengine sura zetu zinatisha kuliko Remmy Ongala, halafu tunatafutwa kuanzia na wasiojulikana mpaka Interpol.
Kujitoa jf sio rahisi.
Hela[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kuchora nini mdogo wangu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aahh.. Hata kuutafuta siutafuti
We hama tu JF kabisa[emoji1]
Sasa utachorwaje?Shida siwezi kupiga picha, mnanisaidiaje katika hilo.
Ngoja aje kwanza espy.
Nimesoma na sijaona sababu ya kutukana, kuna vingi kazungumza vya ukweli.[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kimeumanaaaaaaaah
Usikose.Haya ndio mambo sasa mzee mwenzangu, asante sana.
Afanye imagination tu, nafanana kiasi na huyo kwenye avatar kasoro kipini tu puani. [emoji23]Sasa utachorwaje?
Nikitoka kanisani tu kituo cha kwanza na hapo nyumbani tumkule vizuri huyo kuku.Usikose.
Lile jogoo langu kuubwa kuliko yote nalipiga bisu, uwahi mapemaa kuanzia supu(cha asubuhi), mchana sikukuu yenyewe mpaka cha usiku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afanye imagination tu, nafanana kiasi na huyo kwenye avatar kasoro kipini tu puani. [emoji23]