Tunaopitia hii changamoto tupeane ushauri


Polee sana dada kwa unayoyapitia. Ila una roho nzuri kweli kweli, naona umechukua kwa baba.
 
Fanya hivi kata mawasiliano nae hata mwezi msionane wala msiwasiliane. Binadamu tuna kitu flani hivi mtu unayempenda sana unamuonyesha kutomjali ila akishaondoka na ukamiss uwepo wake basi utajuta sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…