Inaonyesha bado aya ya mwisho ya huo ushauri hujaishika vzr.
Kataa Kwa maneno na vitendo. Fanya tu vile unaona umeweza, kama ana shida saidia kwenye faida, tena kama utaona inafaa, vinginevyo chinjia baharini Tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kataa Kwa maneno na vitendo. Fanya tu vile unaona umeweza, kama ana shida saidia kwenye faida, tena kama utaona inafaa, vinginevyo chinjia baharini Tu.
Asante kwa maneno yako ya faraja
Hata mm nahisi sio yeye japo hizi tabia zake ni za muda mrefu na naona ni muendelezo
Mm kwasasa naishi mbali nae kabisa kuepusha vitu vingi baina yetu
Naona afadhali nilale njaa hata kwenye mateso ila sio kukaa nae pamoja maana hana maneno mazuri juu yangu kila kitu mm ni mbaya
Maneno makali tena makali haswa nishaambiwa ila nashukuru Mungu hadi leo hamna kibaya kilichonipata
September aliniomba laki4 nikampa mwezi huo huo akaniomba nauli aende mkoa x nikamwambia sina hela mimi mwenyewe nataka kusafiri kupeleka hii mizigo yangu
Akanambia kama mm nilikutoa kwenye uchi wangu huu hautafanikiwa nakuomba nauli unaninyima?? Wakati hapo nilimpa laki4 cash
Hapo napoenda kuna kula, bili za umeme bado nauli za kuzungushia vitu, kodi nimechanga na mwenzangu tukalipa ya mwaka mmoja
Maajabu nimefika vitu havikuchukua hata mwezi vikaisha na bado order ikawa kubwa ikabidi nirudi dar kufunga mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app