Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,234
- 2,535
- Thread starter
- #21
Yaani ndo uamue tu kumvumilia maana hatabadilika na usiache kumsaidia kama unaweza, zidisha Upendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namsaidia na nampenda maana najua siwezi pata mama mwingine
Na bado namsaidia mdogo wangu nimemnunulia P.C. bado vitu vidogo vya shule maana hatujapishana sana ni wa kiume kwahiyo ameshakua mkubwa, nampa hela ndogo ndogo za kujinunulia vitu vyake (nikiwa na hela na nikikosa ananielewa)