Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

Huyo alidhihilisha kuwa ni jambazi kwa kuunda kikosi cha ulinzi binafsi hali akiwa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Ina maana hakuamini vyombo vyake vya usalama mpaka kuwa na section ya walinzi binafisi?
Hakupenda kutumia vyombo halali vya ulinzi na usalama kwa Sababu ya mienendo yake ovu.

Hata akiachiwa Leo, KARMA haitamwacha salama.
KARMA INA anuani ya kila MTU hata kama huna makazi itakufuata popote.
 
Maisha yanaenda kasi sana,hivi ninavyoandika Sabaya anaenda chooni kunya/kukojoa kwa muda maalum na kwa zamu(Mahabusu au Jela huendi kupata haja muda wowote unaojitakia wewe),anakula kwa muda maalum,kuoga kwa muda maalum na kama kuna Maji na kulala pia ni kwa muda maalum,na tayari aliowafanyia ubaya huku mitaani watakuwa wameshaanza kumshikashika makalio,lazima waivunje bikra yake!!!!endelea kusimama na huyo matako Shoga Sabaya,na usiishie kusimama nae tu,kumbuka na kumpelekea Wembe na Sabuni maana kule vitu hivyo ni ADIMU sana
 
Lile ni jangili, majangili wenzake wanalalamika sn
 
Hatari sn na nusu
 
Ushamtembelea kisongo lakini au ndiyo mnalilia tu humu mtandaoni

Ova
 
Wewe unayejitokeza kumtetea Sabaya na kuita S4C sijui kama unamfahamu unayetaka kumtetea....Kama Jamhuri imeona ana tuhuma za kujibu wewe ni nani na wanaokusapoti ni akina nani kama siyo mnufaika wa uongozi mbaya wa kifedhuli wa huyu Kijina....tunaoishi Arusha tunafahamu upumbavu aliokuwa anautenda...
Itakuwa ni mawazo ya ujinga kuona Sabaya anaonewa na Serikali eti kwa kuwa alimtoa Mbowe kwenye Ubunge Hai....
 
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.

Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
 
Mtoa mada nilikua nakuona mmama mwenye akili zake kumbe ubongo uko kaburini.
Mpelekee Sabaya sabuni na uji Kama unampenda.
 
Poleni kwa yaliyowakuta,poleni sana. Ila mliobaki mjifunze kwa matendo ya shujaa wenu ili muwatendee watu sawasawa na sheria na kwa nia njema. Karma haiangalii sura,au umefanyaje. Jifunzeni kwa mwenzenu.
 
Lazima aozee jela huyo jambazi sugu na hapo bado ndiyo kwanza kumekucha
 
Jambazi sugu linalotumia mwamvuli wa dola kufanya uhalifu wa kutumia silaha dawa yake ni kifungo kirefu - mvua sate ili kutia adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…