Waongo... kila gari ukiulizia imeshauzwa.!Hawa jan Japan nimewakubali kwanza wanaandika km harisi wanauza hadi magari ya mileage 220k(wakweli) na pili wana gari hadi za milion 8 na 9 hapa hapa Tz.
Nenda ukurasa wao wa insta utafurahi wako real Sana.View attachment 2097812View attachment 2097813View attachment 2097814View attachment 2097815View attachment 2097816View attachment 2097817View attachment 2097818View attachment 2097819
STM zinakimbia
Prado ya injini kubwa hyo sio zile za kitaa zilizo zagaa TX
Cc ngap?Prado ya injini kubwa hyo sio zile za kitaa zilizo zagaa TX
3000Cc ngap?
4000cc hyoCc ngap?
Dah noma watu wameamua 🤣DYK juzi hii,
Leo au kesho itakua DYL
STM zinakimbia
View attachment 2099464Yapo mengi mawilayani, migao kwa ma DC na ma DED ktk halmashauri nyingi.
Sasa 3000cc Ni kitu cha kuwaza?3000
Una hamu ila tulia kido, ifafika tu ila kwa mwezi huu subiri upite tuangalir mwezi wa 4.Tuko DZL ndugu zangu [emoji119]
View attachment 2121152
Tuko DZL ndugu zangu [emoji119]
View attachment 2121152