Oxx
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 896
- 1,946
Waongo... kila gari ukiulizia imeshauzwa.!Hawa jan Japan nimewakubali kwanza wanaandika km harisi wanauza hadi magari ya mileage 220k(wakweli) na pili wana gari hadi za milion 8 na 9 hapa hapa Tz.
Nenda ukurasa wao wa insta utafurahi wako real Sana.View attachment 2097812View attachment 2097813View attachment 2097814View attachment 2097815View attachment 2097816View attachment 2097817View attachment 2097818View attachment 2097819