Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Engine kubwa ni 1GR - FE. 4000cc inakimbia balaa... 270HP huo moto usijiloge kufukuza😅Prado ya injini kubwa hyo sio zile za kitaa zilizo zagaa TX
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engine kubwa ni 1GR - FE. 4000cc inakimbia balaa... 270HP huo moto usijiloge kufukuza😅Prado ya injini kubwa hyo sio zile za kitaa zilizo zagaa TX
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huu mwaka uko speed ya jetLongway to go. DJklmnpqrstuvwxyz. Halafu ianze dza
Angalia vizuri. Namba za bond hizo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huu mwaka uko speed ya jetView attachment 2125301
DY...DZSoon mzee
Mtu hanunui gari anasubir namba E 😀😀😀Utafikiri watu wana hela ya kununua magari wanavyokomenti. Mwenye hela hasubiri upuuzi ananunua na ikitoka namba e ananunua tu, ila wasio na hela wako kama watu wa kubeti humu.
Na ikiingia namba EAA sijui atasema anasubiri namba EZZ [emoji23][emoji23][emoji23]Mtu hanunui gari anasubir namba E [emoji3][emoji3][emoji3]
Ss sijui namba inahusiana vp na gari analonunua
% yao kubwa wanajipa ma-hope mkuu. .....huku wakisubili ajira ili wakakopesheke.Utafikiri watu wana hela ya kununua magari wanavyokomenti. Mwenye hela hasubiri upuuzi ananunua na ikitoka namba e ananunua tu, ila wasio na hela wako kama watu wa kubeti humu.
Ndio maana tunasubiri itoke namba D zishuke bei ili tuachane na namba AUtafikiri watu wana hela ya kununua magari wanavyokomenti. Mwenye hela hasubiri upuuzi ananunua na ikitoka namba e ananunua tu, ila wasio na hela wako kama watu wa kubeti humu.
Kwamba mtu atauza IST yake DXY 5M kisa EAA ipo barabarani? [emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu bei za magari zinapanda sijui shida ni nini...Na yatashuka kweli yani[emoji28] mi nasubiria kiji IST tu kiporomoke kifike 5M
Japokuwa hujaniuliza mimi ila nakwambia ukweli registration series ya magari ni factor kubwa katika kuporomoka kwa bei ya gari husika. Tulio kwenye industry tunajuaKwamba mtu atauza IST yake DXY 5M kisa EAA ipo barabarani? [emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu bei za magari zinapanda sijui shida ni nini...
Halafu sio kwa ban hizo unazokula kila siku.
Yeah? Inaweza kuwa kweli Ila kwa bei za magari saivi hakuna anayeweza kuuza IST DYZ kwa 5m kisa tu imeanza EAA. I'm ready to put my money on it.Japokuwa hujaniuliza mimi ila nakwambia ukweli registration series ya magari ni factor kubwa katika kuporomoka kwa bei ya gari husika. Tulio kwenye industry tunajua
Hapo mpaka mwezi wa tano tano hviJe, kwa makadirio DZ inaingia lini?
Hivi DY hadi DZ kuna takiwa magari mangapi?
IST zipo kwenye very high demand kwa sasa kuliko baby walker nyingine. Pia kushuka kwa thamani kunatokana na jinsi jamii inavyoya brand mfano kwa sasa PASSO baada ya watu kuitumia sana wanasema inakongoroka haraka na ina matatzo sana miguuni kwa hiyo ukitaka kuisukuma unakuta unasukuma mpaka 5.Yeah? Inaweza kuwa kweli Ila kwa bei za magari saivi hakuna anayeweza kuuza IST DYZ kwa 5m kisa tu imeanza EAA. I'm ready to put my money on it.
Nimeshangaa jamaa kataka IST DPZ kwa 11.5 tena kwa kuomba kabisa...haya magari yalikuwa 7-8-9m juzi tu. Mlioko kwenye industry tuambieni nini shida.
Very true mkuu!IST zipo kwenye very high demand kwa sasa kuliko baby walker nyingine. Pia kushuka kwa thamani kunatokana na jinsi jamii inavyoya brand mfano kwa sasa PASSO baada ya watu kuitumia sana wanasema inakongoroka haraka na ina matatzo sana miguuni kwa hiyo ukitaka kuisukuma unakuta unasukuma mpaka 5.
Hv ushawahi kuulizia gari za RAV 4 kuanzia old model ya 1999 hii ushawahi kuona inaporomoka bei?
Ya 2001? Ya 2016 ndio usiseme....
The other car ambayo itakaa ulingoni kiasi ni DUALIS hii gari imekua affordable na bei yake haitatetereka kwa muda.
By the way anayejua gari hanunui namba ananunua gari iliyo nzima na itakayompa thamani...
Hivi DY hadi DZ kuna takiwa magari mangapi?