Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Longway to go. DJklmnpqrstuvwxyz. Halafu ianze dza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huu mwaka uko speed ya jet
JamiiForums1078376678.jpg
 
Utafikiri watu wana hela ya kununua magari wanavyokomenti. Mwenye hela hasubiri upuuzi ananunua na ikitoka namba e ananunua tu, ila wasio na hela wako kama watu wa kubeti humu.
Ndio maana tunasubiri itoke namba D zishuke bei ili tuachane na namba A
 
Kwamba mtu atauza IST yake DXY 5M kisa EAA ipo barabarani? [emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu bei za magari zinapanda sijui shida ni nini...

Halafu sio kwa ban hizo unazokula kila siku.
Japokuwa hujaniuliza mimi ila nakwambia ukweli registration series ya magari ni factor kubwa katika kuporomoka kwa bei ya gari husika. Tulio kwenye industry tunajua
 
Yeah? Inaweza kuwa kweli Ila kwa bei za magari saivi hakuna anayeweza kuuza IST DYZ kwa 5m kisa tu imeanza EAA. I'm ready to put my money on it.

Nimeshangaa jamaa kataka IST DPZ kwa 11.5 tena kwa kuomba kabisa...haya magari yalikuwa 7-8-9m juzi tu. Mlioko kwenye industry tuambieni nini shida.
 
IST zipo kwenye very high demand kwa sasa kuliko baby walker nyingine. Pia kushuka kwa thamani kunatokana na jinsi jamii inavyoya brand mfano kwa sasa PASSO baada ya watu kuitumia sana wanasema inakongoroka haraka na ina matatzo sana miguuni kwa hiyo ukitaka kuisukuma unakuta unasukuma mpaka 5.

Hv ushawahi kuulizia gari za RAV 4 kuanzia old model ya 1999 hii ushawahi kuona inaporomoka bei?

Ya 2001? Ya 2016 ndio usiseme....

The other car ambayo itakaa ulingoni kiasi ni DUALIS hii gari imekua affordable na bei yake haitatetereka kwa muda.

By the way anayejua gari hanunui namba ananunua gari iliyo nzima na itakayompa thamani...
 
Wazee wa kusubiri EA ndio mmliliki magari nadhani mwaka huu sahauni tu....

Next year ndio mtaanza na EAA
 
IST zipo kwenye very high demand kwa sasa kuliko baby walker nyingine. Pia kushuka kwa thamani kunatokana na jinsi jamii inavyoya brand mfano kwa sasa PASSO baada ya watu kuitumia sana wanasema inakongoroka haraka na ina matatzo sana miguuni kwa hiyo ukitaka kuisukuma unakuta unasukuma mpaka 5.

Hv ushawahi kuulizia gari za RAV 4 kuanzia old model ya 1999 hii ushawahi kuona inaporomoka bei?

Ya 2001? Ya 2016 ndio usiseme....

The other car ambayo itakaa ulingoni kiasi ni DUALIS hii gari imekua affordable na bei yake haitatetereka kwa muda.

By the way anayejua gari hanunui namba ananunua gari iliyo nzima na itakayompa thamani...
Very true mkuu!
 
Back
Top Bottom