Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Hizi gari za Jan Japan ndo ambazo nyingi ziko kwenye Yards za kinondoni ila tofauti ni kuwa zikifika kule wanachakachua na kale kamtambo kao!

Similar car ya 212,000kms kwa ODO inapigwa 56,210kms ukiiona na ule upya upya ukiambiwa lipia 25M unalipa kwa gari ambayo jamaa kaifikisha mjini kwa 22M.

Wanapata faida sana hao jamaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…