Tunaosubiri namba E tukutane hapa

leo mwaka mwingine E Bado
 
Mimi mwenye namba C unanishauri vipi?
 
Mkuu fata series ya herufi nimeishia Z hapo
Kwan mkuu wakati wa namba C hukuona namba kama T346CZS? Hapa inamaana ikiisha DYZ itaanza DZA hadi DZZ ndio mwisho wa herufi halafu tunaanza series ya E. Imagine ni magari mangapi hapo? Ndio maana natabiri DZ itaingia 2023
 
Kwan mkuu wakati wa namba C hukuona namba kama T346CZS? Hapa inamaana ikiisha DYZ itaanza DZA hadi DZZ ndio mwisho wa herufi halafu tunaanza series ya E. Imagine ni magari mangapi hapo? Ndio maana natabiri DZ itaingia 2023

Tutarudi kukumbusha mkuu 2023 bado ipo sana. Kumbuka usajili wa gari unatumika hadi kwenye tela za malori.
 
DY bado magari kama elfu 20 hivi hadi iishe na ushuru umekuwa mkubwa na russia kakiwakisha itachelewa. DZ yenyewe ina magari 23,400 hadi iishe ndo ije namba E. Dawa ni kununua namba binafsi weka jina lako then ikitoka E hamia.
DZ ina magari 19,778.

Kila herufi mfano DZA ina magari 899 yani kutoka DZA ni gari 899 kuanzia 101 mpaka 999....
DZB ni 899
DZC ni 899

SO herufi zipo 22 kutoka DZA mpaka DZZ ukichukua 899 x 22 unapata 19,778.

Kwa mwezi hatutoboi magari 1000 sasa chukulia gari 19,778 hapa tuna miezi kama 12 na udogo....

EAA see you in 2023 march....

Mark this post...

Unless litokee limradi likubwaaaa contract anunue magari mengi sana...

Hivi bomba la mafuta lishaanza???
 
Unasema 899 alafu unasema 999 sijaelewa

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Kuna meli inaitwa TRANQUIL ACE inaingia March 15. Hii ndio meli kubwa kuwahi kuja TZ. Mara ya kwanza ilikuja 2021 August ilishusha magari 3700+

Ngoja tuone
 
Hizi hesabu zako ni kichaa.

Yaani DZA-DZZ ichukue miezi 12!!

Nimesajili DXE September 2021 na sasa tupo DYR March 2022.

DXE yangu yenyewe ni ya mwanzo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…