Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...

Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.

View attachment 1888026

Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..

Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]

Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...

Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
leo mwaka mwingine E Bado
 
Haelewi huyo!

Ngoja wazee wa Mlimani city waingie mchezoni mwa namba “E” ukipeleka gari hata iwe bado kinanda utaskia hii gari tatizo “D” number mkuu! Hii tukupe million 7 tu!

Yani hamna mtu atakuwa na interest na gari yenye namba “D” tena. Zitaporomoka bei vibaya mno hasa “D” za mwanzo zile! Bora hawa wa DZ wanaweza kuuza uza maana E ikishika kasi watu “D” watakuwa hawaitaki tena. Wateja wa magari bongo wako interested na number plate zaidi sio ubora wa gari!
Mimi mwenye namba C unanishauri vipi?
 
Kwan mkuu wakati wa namba C hukuona namba kama T346CZS? Hapa inamaana ikiisha DYZ itaanza DZA hadi DZZ ndio mwisho wa herufi halafu tunaanza series ya E. Imagine ni magari mangapi hapo? Ndio maana natabiri DZ itaingia 2023

Tutarudi kukumbusha mkuu 2023 bado ipo sana. Kumbuka usajili wa gari unatumika hadi kwenye tela za malori.
 
DY bado magari kama elfu 20 hivi hadi iishe na ushuru umekuwa mkubwa na russia kakiwakisha itachelewa. DZ yenyewe ina magari 23,400 hadi iishe ndo ije namba E. Dawa ni kununua namba binafsi weka jina lako then ikitoka E hamia.
DZ ina magari 19,778.

Kila herufi mfano DZA ina magari 899 yani kutoka DZA ni gari 899 kuanzia 101 mpaka 999....
DZB ni 899
DZC ni 899

SO herufi zipo 22 kutoka DZA mpaka DZZ ukichukua 899 x 22 unapata 19,778.

Kwa mwezi hatutoboi magari 1000 sasa chukulia gari 19,778 hapa tuna miezi kama 12 na udogo....

EAA see you in 2023 march....

Mark this post...

Unless litokee limradi likubwaaaa contract anunue magari mengi sana...

Hivi bomba la mafuta lishaanza???
 
Unasema 899 alafu unasema 999 sijaelewa

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
1646305558652.png

Haya wadau. Tunasogea
 
Kuna meli inaitwa TRANQUIL ACE inaingia March 15. Hii ndio meli kubwa kuwahi kuja TZ. Mara ya kwanza ilikuja 2021 August ilishusha magari 3700+

Ngoja tuone
 
DZ ina magari 19,778.

Kila herufi mfano DZA ina magari 899 yani kutoka DZA ni gari 899 kuanzia 101 mpaka 999....
DZB ni 899
DZC ni 899

SO herufi zipo 22 kutoka DZA mpaka DZZ ukichukua 899 x 22 unapata 19,778.

Kwa mwezi hatutoboi magari 1000 sasa chukulia gari 19,778 hapa tuna miezi kama 12 na udogo....

EAA see you in 2023 march....

Mark this post...

Unless litokee limradi likubwaaaa contract anunue magari mengi sana...

Hivi bomba la mafuta lishaanza???
Hizi hesabu zako ni kichaa.

Yaani DZA-DZZ ichukue miezi 12!!

Nimesajili DXE September 2021 na sasa tupo DYR March 2022.

DXE yangu yenyewe ni ya mwanzo kabisa.
 
Back
Top Bottom