Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Ushauri wangu kwa mamlaka husika kama wamo humo ndani ya jukwaa

Wabadilishi mfumo wa PLAT NUMBER za magari ili ziwe zinaendana na mwaka wa gari lilipo tengenezwa (year of manufacture) hii itasaidia sn katika mambo mengi.

Mfano
Kama gari imetengenezwa 2003 au 2009
Waje na Code itakayo anza na mwaka kwa mfano gari zote zilizo tengenezwa kuanzia 2000 hadi 2009 wajena na CODE 2 au 5 inayo utambulisha mwaka husika Kwahiyo gari ya mwaka 2002 au 2009

Mwaka Plate Number
2001 TZ 21 DXX OR T 51 DXX

2002 TZ 22 TCH OR T 52 TCH


2009 TZ 29 CVF OR T 59 CVF

HAYA MAWAZO YANGU TU .
 

Tunaosubiri namba E tupo kadhaa, ila uzalendo unaelekea kutushinda...

Katika hizo gari, taarifa inasema ni gari kama 700+ hivi ndio zitabaki bongoland.
Yeah ni kweli kwa takwimu walisema 65% zinaenda kwao (IT) nadhani hesabu itakua kama 1290 hivi

Mimi nina namba ALZ (Ilikua TZM)
Napia nna namba za CCM na DHH

Hapa nadhani ntahitaji ya mwisho FUK....literally ya kustaafia
 
Hafu tuzipeleke kijijini kusanya abiria na kuku + mbuzi
 
Yeah ni kweli kwa takwimu walisema 65% zinaenda kwao (IT) nadhani hesabu itakua kama 1290 hivi

Mimi nina namba ALZ (Ilikua TZM)
Napia nna namba za CCM na DHH

Hapa nadhani ntahitaji ya mwisho FUK....literally ya kustaafia
Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…