Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Jamani kati hizi crown ipi ni bora in term of everything... majesta,athlete, na royal saloon? Kidada changu last born kinahitaji mojawapo,nadhani naye anataka kuanzia namba E
Majesta ni mwisho wa matatizo, lina kila kitu ambacho angekipata kwenye Benz 😂😂😂 ila kipengele ni safari za sheli zitakuwa za Mara kwa Mara kama kubanwa mkojo kwa mgonjwa wa figo.
 
Majesta ni mwisho wa matatizo, lina kila kitu ambacho angekipata kwenye Benz [emoji23][emoji23][emoji23] ila kipengele ni safari za sheli zitakuwa za Mara kwa Mara kama kubanwa mkojo kwa mgonjwa wa figo.
Amen! Ntamfikishia ujumbe atajua mwenywe mambo ya wese[emoji3][emoji3]
 
Jamani kati hizi crown ipi ni bora in term of everything... majesta,athlete, na royal saloon? Kidada changu last born kinahitaji mojawapo,nadhani naye anataka kuanzia namba E

Kama ni dada mwambie achukue Royal saloon, hiyo ji luxury car yenye suspension za kunesa...
Crown athlele ni sport, kwa wanaopenda mbioo...

Majesta lile ni V8 Saloon car
 
Sh ngapi..sanuka bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…