Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Itafika tu kumbuka mitambo, matrela, malory, magari yote yanasajiliwa kwa hiyo namba na yanaingia kwa kasi
Mie bado niko kwenye CXS mirija ifunguke nianze na EAA
 
Acheni uboya nunueni gari sasa kila mtu anasubiri namba e zitafika lini nunueni ili mm niipate hiyo e[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Nimescreen shot
 
Ndefu sana. Hazitaenea kwenye plates.
 
Nina namba B ila mpya kuliko D nyingi

Injini ndio nimevua mwaka jana.

Naitunza sana na naipenda sana hii chuma
 
Watu wengi huwa hawana taarifa,

Hajui kuwa hata sasahivi ana pata T 999 ZZZ kwa laki 5 tu.

Kuna namna mpangilio wa irabu na nambari ...kwa hizo za serie ya T huwezi pata itakayokuwa kwenye sequence combination zijazo.. Ila unaweza pata mfano "T CHUMA 101 " au "NEWGAPI" au " GAP289" .
 
Kuna namna mpangilio wa irabu na nambari ...kwa hizo za serie ya T huwezi pata itakayokuwa kwenye sequence combination zijazo.. Ila unaweza pata mfano "T CHUMA 101 " au "NEWGAPI" au " GAP289" .
Mkuu, hili jambo lipo toka mwaka jana, na ni permanent, hiyo unayosema wewe unalipa 5m kwa miaka mitatu, ilikuwa milion 10 miaka kama mi3 nyuma, lakini mwanzo ilikuwa mil 5.

Hii unachukua number ya mbele, ipo na unalipa laki 5 tu.
 
Wazee wa uchambuzi mko vizuri asee, ila hapo kwa Jiwe umeua!!
 
Naskia unasubirua E namba kama jina lako Extrovert maana D namba zimekaa kidalali sanaaa. Kila ukimpigia dalali utaskia nina D namba bado mpya wakati kule Japan miles zilikuwa zinasoma 80000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…