Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

IMG_20210817_154253.jpg
 
Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...

Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.

View attachment 1888026


Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..

Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]

Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...

Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Number E zipo mtaani ila chache sn, uko wapi mkuu? Nikipata picha nitakuwekea hapa.
 
Disemba tunaweza lala na dz maana dx inaisha mda si mrefu.. dy hatuwezi iianza January
Dy january hio mzee...DZ Mpaka mwezi wa 3 au wa 4 huko...kumbuka January hapo mambo hua magumu. Ko kuanzia December watu wataanza kusave pesa kwa ajili ya January kwa ajili ya watoto kwenda shule na mambo mengine. Kwa hio DZ tutegemee sana sana mwezi wa 4 huko
 
Dy january hio mzee...DZ Mpaka mwezi wa 3 au wa 4 huko...kumbuka January hapo mambo hua magumu. Ko kuanzia December watu wataanza kusave pesa kwa ajili ya January kwa ajili ya watoto kwenda shule na mambo mengine. Kwa hio DZ tutegemee sana sana mwezi wa 4 huko

Wewe ndio ununui gari, dy tunaainza mwaka huu ata mwezi wa 12 katikati inaweza isifike tutarudi kukumbushana
 
We kama umejipanga kununua gari, nunu a gari...kwa sababu namba E haitaketa maajabu yoyote..kwa mfano, ukija kununua IST isajiliwe namba E, haitabadilika na kuwa Lamborghini kisa ni namba E....itabaki kuwa IST ile ile
 
Back
Top Bottom